Thursday, 7 November 2013

Malezi

Malezi bora ni kitu muhimu kwa vijana wa rika zote.  Masomo na namaisha ni moja ya vitu muhimu ambavyo mwanafunzi huitaji maelekezo muhimu kama vile maombi, juhudi binafsi na na kusoma Biblia.















Mwalimu Donasian Akitoa ushauri kwa wanafunzi.

Monday, 4 November 2013

MITIHANI YA KUFUNGA MWAKA YAANZA.
Mitihani ya kufunga mwaka yaanza rasmi leo tarehe 4/11/2013. Wanafunzi wa vidato vya Kwanza, Tatu, nne, tano na sita.  Wanafunzi wakiwa wamejiandaa kwa mitihani, waonekana wakiifurahia mitihani hiyo.

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakijiandaa kwa mitihani wakijisomea chini ya uangalizi wa mwalimu.


Efatha Seminary Mapinga campus.


Sunday, 3 November 2013

Efatha seminari  ni shule ya kikristo inayofuata maadili yote ya kiimani ya kikristo ya mkuzayo mtoto kiakili, kimwili na kiroho.  Ina walimu wa kutosha na wenye uzoefu wa ufundishaji na malezi bora kwa vijana.
Efatha seminari ipo umbali wa kilometa 1.5 kutoka barabara kuu iendayo Bagamoyo.
Ni shule ya bweni na ni ya mchanganyiko.

Friday, 1 November 2013

Efatha Seminari

wanafunzi wa Efatha senimaria wakiiwa "Assembly" wakisikiliza matangazo tayari kwenda darasani.