Sunday, 3 November 2013

Efatha seminari  ni shule ya kikristo inayofuata maadili yote ya kiimani ya kikristo ya mkuzayo mtoto kiakili, kimwili na kiroho.  Ina walimu wa kutosha na wenye uzoefu wa ufundishaji na malezi bora kwa vijana.
Efatha seminari ipo umbali wa kilometa 1.5 kutoka barabara kuu iendayo Bagamoyo.
Ni shule ya bweni na ni ya mchanganyiko.

No comments:

Post a Comment